Nokia Asha 311 - Chunguza maeneo karibu na wewe

background image

Chunguza maeneo karibu na wewe

Unataka kuona cha kuona na kufanya karibu na wewe? Unaweza

kuchagua kuchambua biashara au maeneo ya umma, kama vile

mikahawa, yameonyeshwa kwenye ramani.
1. Chagua ramani.
2. Chagua ili kuonyesha upauzana, kisha uchague na maeneo ili

kuona.

82