Nokia Asha 311 - Hifadhi mahali

background image

Hifadhi mahali

Kabla ya safari, huenda ukaona inafaa kuhifadhi maelezo kuhusu

hoteli, vivutio, au vituo vya petroli kwenye simu yako.
Chagua ramani.
1. Ili kutafuta anwani au mahali, chagua ili kuona upauzana, basi

chagua .
2. Andika jina au mahali au anwani, kisha chagua kutoka kwa

zinazolingana.
3. Kwenye ramani, chagua kiteuwa mahali na > .
Angalia eneo lililohifadhiwa

Katika muonekano mkuu, chagua

> na mahali.

Hariri au ondoa eneo lililohifadhiwa

1. Katika muonekano wa vipwendwa, chagua mahali.
2. Chagua , kisha chagua hariri kipendwa au futa kipendwa.

81