Kuhusu Ramani
Ramani hukuonyesha kilicho karibu na hukusaidia kupanga njia yako.
Chagua ramani.
Unaweza:
• Angalia mahali ulipo kwenye ramani
• Panga njia ya eneo lililo karibu
• Tafuta mahali au anwani, na uihifadhi
• Tuma eneo lako au mahali kwa rafiki katika ujumbe wa maandishi
Simu yako huenda zikawa na kadi ya kumbukumbu yenye ramani
zilizopakiwa mapema za nchi yako. Hakikisha kadi ya kumbukumbu
iko kwenye simu kabla ya kutumia Ramani.
Kutumia huduma hiyo au kupakua yaliyomo huenda yakasababisha
uhamishaji wa viwango vikubwa vya data, ambayo inaweza
kusababisha gharama ya trafiki ya data.
Huenda huduma hii isipatikane katika nchi au maeneo yote, na
huenda ikatolewa tu kwa lugha zilizochaguliwa. Huenda huduma
inategemea mtandao. Kwa maelezo zaidi, wasiliana na mtoa huduma
wa mtandao wako.
75
Yaliyomo ya ramani za dijitali huenda nyakati zingine zisiwe sahihi na
kamilifu. Kamwe usitegemee pekee yaliyomo au huduma ya
mawasiliano muhimu, kama vile katika hali za dharura.
76