Pakua ramani
Ukivinjari eneo la ramani ambalo halijahifadhiwa kwenye kadi yako ya
kumbukumbu, na una muunganisho amilifu wa data wa tovuti, ramani
ya eneo hilo hupakuliwa kiotomati.
Angalia 8.
Kidokezo: Kama huna mpango wa data wa ada moja kutoka kwenye
mtoa huduma wako wa mtandao, ili kuokoa gharama ya data katika
bili yako ya simu, unaweza kutumia mtandao wa Wi-Fi ili kuunganisha
kwenye tovuti.
Kidokezo: Hifadhi ramani ya mtaa mpya kwenye simu yako kabla ya
safari, ili uweze kuvinjari ramani bila muunganisho wa tovuti wakati
unasafiri. Tumia programu ya Nokia Suite PC ili kupakua ramani mpya
kabisa na kisha zinakili kwenye simu yako. Ili kupakua na kusakinisha
Nokia Suite, nenda kwa www.nokia.com/support.
79
B
A