
Unda njia ya kutembea
Panga njia ya kutembea ya eneo lililo karibu. Unaweza kuona njia yote
na kona zotekwenye ramani kabla ya kutoka.
1. Chagua ramani.
2. Chagua ili kuona upauzana, basi chagua
> .
3. Chagua mahali pa kuanzia na mahali, anwani, kibwedo
kilichohifadhiwa, au eneo kwenye ramani kama eneo la kuanza la njia
yako ya kutembea. Ili kuanza kuanzia mahali ulipo sasa, chagua
mahali pangu.
4. Chagua mwishilio na mwisho wa njia yako ya kutembea.
kutumia feri na njia zingine maalum za chini kwa njia za kutembea
kumezuiwa.
5. Chagua .
6. Wakati uko tayari kwenda, chagua .
Kidokezo: Ili kusoma orodha ya kila kona njiani, chagua eneo la
maelezo ya kona linalofuata juu ya skrini.
80