Nokia Asha 311 - Angalia simu zako zisizojibiwa

background image

Angalia simu zako zisizojibiwa

Je, ulikosa simu, lakini unataka kuona ni nani aliyepiga simu?
Ikiwa ulikosa simu, taarifa huonyeshwa kwenye skrini ya kufunga.

Pitisha juu ya taarifa ili ufungue simu zote view. Huorodhesha simu

ulizopiga , ulizopokea , au kukosa .
Ili kupiga tena, chagua namba au jina.
Simu zisizojibiwa na zilizopokewa huifadhiwa tu kama inakubaliwa na

mtandao, na simu yako imewashwa na katika aneo la huduma ya

mtandao.
Angalia simu zako zisizojibiwa baadaye

Chagua logi.

27

background image

simu zote

9876543210

01-10

0123456789

12:10