Nokia Asha 311 - Ita nambari ya mwisho iliyopigwa

background image

Ita nambari ya mwisho iliyopigwa

Je, ulijaribu kumpigia mtu simu, lakini hakuna aliyechukua? Ni rahisi

kupiga simu tena.
1. Kwenye skrini kaya, bonyeza

.

2. Chagua namba ya simu.

28