Piga simu ya tovuti
Unahitaji kupiga simu ng'ambo mara kwa mara? Tumia simu ya tovuti
ili kuokoa gharama.
Unaweza kupiga na kupokea simu kwenye tovuti. Watoa huduma
wengine wa huduma ya simu ya tovuti huruhusu simu za bure za
tovuti. Kupiga au kupokea simu ya tovuti, lazima uwe katika eneo la
huduma la Wi-Fi au mtandao wa 3G, na uwe umeunganishwa kwenye
huduma ya simu ya tovuti. Unahitaji pia kuna na akaunti katika
huduma ya simu ya tovuti.
sogo. simu husaidia kusanidi akaunti yako katika simu yako.
Sanidi akaunti yako ya simu ya tovuti
1. Chagua mipangilio.
2. Chagua uunganikaji > simu ya tovuti > UNGANISHA.
3. Fuata maagizo yaliyoonyeshwa kwenye simu.
Wakati sogora imemaliza, akaunti yako huonyeshwa katika orodha ya
akaunti.
Pigia simu jina
1. Chagua majina.
2. Chagua jina na simu ya intaneti.
32
Ita nambari ya simu
Charaza namba ya simu, kisha chagua > simu ya intaneti.
Kwa simu za dharura, mtandao wa selula tu ndiyo hutumiwa.
33