Nokia Asha 311 - Piga simu

background image

Piga simu

1. Chagua simu, au pitisha kushoto ili kufungua kipigaji simu.
2. Ingiza namba ya simu.

3. Bonyeza

.

4. Ili kukata simu, bonyeza

.

Jibu simu

Bonyeza

.

Kataa simu

Bonyeza

.

26

background image

simu zote

0123456789