Nokia Asha 311 - Sambaza simu kwenye barua yako ya sauti au namba nyingine ya simu

background image

Sambaza simu kwenye barua yako ya sauti au namba

nyingine ya simu

Simu yako inaita, lakini huwezi kujibu? Wacha simu iende kwenya

barua yako ya sauti, au isambaze kwenye namba nyingine.

Kusambaza simu ni huduma ya mtandao.
1. Chagua mipangilio > simu > kuchepua simu.
2. Chagua wakati wa kusambaza simu za sauti zinazoingia:
si. zote za sauti — Sambaza simu zote.
kama inaongea — Sambaza wakati simu inashughuli.
kama haijibu — Sambaza wakati haijajibiwa.
kama ha'atikana — Sambaza wakati simu imezimwa au hakuna

mtandao kwa muda fulani.
kama ha'atikani — Sambaza wakati inashughuli, wakati haijajibiwa,

wakati simu imezimwa, au wakati hakuna mtandao.
3. Chagua amilisha > k. kasha la sauti au kw. nam. ny'gine.
4. Kama kama haijibu au kama ha'atikani imechaguliwa, seti urefu

wa muda ambao simu inapaswa kupelekwa kwingine.

30