Zuia kupiga au kupokea simu
Dhibiti bili yako ya simu kwa kuzia simu za aina nyingine. Unaweza
kuzuia, kwa mfano, simu zinazoingia ukiwa ng'ambo. Kuzuia simu ni
huduma ya mtandao.
1. Chagua mipangilio.
2. Chagua usalama > hu. ya kuz. simu na chaguo.
3. Charaza nenosiri la kuzuia ulilopokea kutoka kwa mtoa huduma
wako.
Kidokezo: Ili kukagua ni simu ngapi ulizopiga, kiwango cha data
ulichotumia, au ni jumbe ngapi za maandishi ulizotuma, chagua
kaunta. Unaweza kuweka kaunta zisafishwe kiotomatiki, kwa mfano,
kila mwezi.
31
Jambo Mik
e