Badilisha mfumo wako mikutano au matumizi ya nje
Weka simu yako itoe bipu kisiri mara moja badala ya kuita, ukiwa
katika mkutano. Au, kama hutaki kukosa simu katika mazingira yenye
kengele, badili hadi mfumo wa sauti.
1. Chagua mipangilio > mifumo ya toni.
2. Chagua au .
3. Chagua amilisha.
Kidokezo: Programu yoyote au muonekano unaotumia, unaweza
kubadili mfumo kwa urahisi kutoka eneo la arifu Kokota kidole chako
chini kuanzia juu ya skrini ili ufungue eneo la arifu, kisha uchague
mfumo wa sasa na au .
40