Nokia Asha 311 - Badilisha mfumo wako mikutano au matumizi ya nje

background image

Badilisha mfumo wako mikutano au matumizi ya nje

Weka simu yako itoe bipu kisiri mara moja badala ya kuita, ukiwa

katika mkutano. Au, kama hutaki kukosa simu katika mazingira yenye

kengele, badili hadi mfumo wa sauti.
1. Chagua mipangilio > mifumo ya toni.
2. Chagua au .
3. Chagua amilisha.
Kidokezo: Programu yoyote au muonekano unaotumia, unaweza

kubadili mfumo kwa urahisi kutoka eneo la arifu Kokota kidole chako

chini kuanzia juu ya skrini ili ufungue eneo la arifu, kisha uchague

mfumo wa sasa na au .

40