Badilisha pazia
Unataka kuona mandhari yako unayopenda au picha ya familia yako
katika usuli wa skrini ya kufunga? Unaweza kubadilisha pazia ili
kubinafsisha skrini ya kufunga jinsi upendavyo.
1. Chagua mipangilio na pazia.
2. Chagua folda na picha.
Kidokezo: Unaweza pia kupiga picha kwenye simu yako, na utumie
hiyo.
39