Badilisha toni yako ya mlio
Unaweza kuweka toni tofauti ya mlio kwa kila mfumo.
1. Chagua mipangilio > mifumo ya toni na mfumo.
2. Chagua toni ya mlio.
3. Chagua toni ya mlio kutoka kwa fungua faili au toni zako
zilizopakuliwa. Toni ya mlio hucheza ili uweze kuona kama unaipenda.
4. Ukipata toni ya mlio unayopenda, chagua NDIYO.
Kidokezo: Pakua toni zaidi za mlio kutoka kwa Stoo ya Nokia.
Kujifunza mengi kuhusu Stoo ya Nokia, nenda kwenye
www.nokia.com/support.
Kidokezo: Unaweza pia kubadilisha toni ya kuarifu ujumbe. Chagua
toni ya ari. uj'be na toni.
41