Binafsisha menyu kuu
unaweza kupanga programu zako unavyopenda - sogeza vibwedo
vyako hadi juu ili ufikie haraka.
1. Gusa na ushikilie menyu kuu.
2. Chagua programu unayotaka kusogeza, kisha gusa mahali
unapotaka kuisogeza.
37
09:00
Jumanne
09:00
Jumanne