Nokia Asha 311 - Binafsisha menyu kuu

background image

Binafsisha menyu kuu

unaweza kupanga programu zako unavyopenda - sogeza vibwedo

vyako hadi juu ili ufikie haraka.
1. Gusa na ushikilie menyu kuu.
2. Chagua programu unayotaka kusogeza, kisha gusa mahali

unapotaka kuisogeza.

37

background image

09:00

Jumanne

09:00

Jumanne