Nokia Asha 311 - Ongeza njia ya mkato kwenye skrini Yangu

background image

Ongeza njia ya mkato kwenye skrini Yangu

Unataka kufungua programu tumizi zako vibwedo moja kwa moja

kutoka kwenye skrini Yangu? Ongeza njia za mkato kwenye nduni

zako zilizotumiwa sana.
1. Gusa na ushikilie skrini Yangu, na uchague njia ya mkato.
2. Chagua kipengee, kamavile wijeti au hatua, na uchague .
Ondoa njia ya mkato

Gusa na ushikilie skrini Yangu, na uchague kwenya njia ya mkato

unayotaka.
Kidokezo: Jaribu kugusa maeneo tofauti kwenye skrini Yangu.

Unaweza, kwa mfano, kubadilisha tarehe na saa, kuweka kengele, au

kuongeza kalenda yako moja kwa moja kutoka kwa skrini Yangu.

38

background image

09:00

Jumanne

09:00

Jumanne