Weka wimbo kama toni yako ya mlio
Unataka kutumia wimbo unaopenda kutoka kwa kicheza muziki kama
toni yako ya mlio? Unaweza pia kuchukua sehemu bora ya wimbo na
utumie hiyo kama toni yako ya mlio.
1. Chagua mipangilio > mifumo ya toni na mfumo.
2. Wakati unaweka toni ya mlio ya mfumo, chagua fungua faili, na
vinjari kwenye wimbo.
3. Ukiulizwa ikiwa unataka kurekebisha maeneo ya mwanzo na ya
mwisho ya toni, chagua NDIYO.
4. Buruta kitia alama cha kuanza kwa pointi ya kuanza.
5. Buruta kitia alama cha kumalizia kwa pointi ya mwisho.
Wakati kitia alama kinaposogezwa kwa pointi mpya, uteuzi hucheza.
6. Kucheza kwa mikono uteuzi, chagua .
7. Chagua .
Toni ya mlio iliyohaririwa haibadilishi toni asili ya mlio au klipu ya sauti.
Toni za mlio zilizowekwa mapema haziwezi kurekebishwa, na sio
fomati zote za toni za mlio zinakubaliwa.
42
Kidokezo: Ili kuboresha pointi za mwanzo na za mwisho za uteuzi,
chagua au , na uchagua na ushikilie au .
43