Nokia Asha 311 - Hifadhi kiambatisho

background image

Hifadhi kiambatisho

Je, mtu alikutumia picha nzuri? Ihifadhi kwenye simu yako. Unaweza

pia kuhifadhi aina zingine za viambatisho.
Chagua ut. ujmbe.
Hifadhi kiambatisho cha ujumbe

1. Fungua ujumbe
2. Chagua faili na > hifadhi.
3. Chagua mahali pa kuhifadhi faili, kama vile Taswira, kisha andika

jina la faili.
Hifadhi kiambatisho cha barua

1. Fungua barua.
2. Chagua kiambatisho. Huenda simu yako ikuuliza upakue faili.
3. Chagua .
Picha na video zimehifadhiwa kwenye faili.

47