
Tuma ujumbe
Wasiliana na familia yako na marafiki kupitia ujumbe.
1. Chagua ut. ujmbe na .
2. Ili kuongeza jina kama mpokeaji, chagua . Unaweza pia kucharaza
namba ya simu.
3. Andika ujumbe wako katika kisanduku cha ujumbe.
Kidokezo: Ili kujumuisha kiambatisho, kama vile picha au video,
chagua > ingiza yaliyomo.
4. Chagua
.
Kutuma ujumbe na kiambatisho, kama vile picha au video, huenda
ikagharimu zaidi kuliko kutuma ujumbe wa kawaida wa maandishi.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana na mtoa huduma wako.
Angalia 5, 6, 7.
46