Linda simu yako
Je, unataka kudhibiti ni nani anaweza kupata na kuunganisha kwenye
simu yako wakati Blueooth imewashwa?
Chagua mipangilio > uunganikaji > Bluetooth.
Zuia wengine dhdi ya kupata simu yako
Chagua u'aji wa simu yangu > iliyofichwa.
Wakati simu yako imefichwa, wengine hawawezi kuipata. Walakini,
vifaa vilivyolinganishwa vinaweza bado kuunganishwa kwenye simu
yako.
Zima Bluetooth
Pitisha chini kuanzia juu ya skrini, kisha uchague .
Usilinganishe au kukubali maombi ya muunganisho kutoka kwa kifaa
kisichojulikana. Hii husaidia kulinda simu yako dhidi ya maudhui
mabaya.
71