Nakili yaliyomo kati ya simu yako na kompyuta
Unaweza kutumia kebo ya USB kunakili picha zako na maudhui
mengine kati ya simu yako na kompyuta inayotangamana.
1. Unganisha simu yako kwenye kompyuta na kebo ya USB
inayotangamana.
2. Chagua modi:
Nokia Suite — Nokia Suite imesakinishwa kwenye kompyuta yako.
uhamisha. media — Nokia Suite imesakinishwa kwenye kompyuta
yako. Kama unataka kuunganisha kwa mfumo wa burudani wa
nyumbani au printa, tumia modi hii.
hifadhi data — Nokia Suite imesakinishwa kwenye kompyuta yako.
Simu yako imeonyeshwa kama kifaa jongevu kwenye kompyuta yako.
Hakikisha kadi ya kumbukumbu iko kwenye simu yako. Ikiwa unataka
kuunganisha kwenye vifaa vingine, kama vile redio ya nyumbani au ya
gari, tumia modi hii.
3. Kunakili yaliyomo, tumia kisimamia faili kwenye kompyuta.
Kunakili majina yako, faili za muziki, video, au picha, tumia Nokia
Suite.
72
Ili kupata maelezo zaidi na kupakua programu ya kompyuta ya Nokia
Suite, nenda kwa www.nokia.com/support.
73