Nokia Asha 311 - Unganisha kifaa cha kichwa kisichotumia waya

background image

Unganisha kifaa cha kichwa kisichotumia waya

Unataka kuendelea kufanya kazi kwenye kompyuta yako wakati wa

simu? Tumia kifaa cha kichwa kisichotumia waya. Unaweza pia kujibu

simu, hata kama simu yako haiko kwenye mkono.
Chagua mipangilio > uunganikaji > Bluetooth.
1. Hakikisha Bluetooth ni washa.
2. Washa kifaa cha kichwa.
3. Ili kutafuta kifaa chako cha kichwa, chagua .
4. Chagua kifaa cha kichwa.
5. Huenda ukahitaji kucharaza alamasiri za ruhusa (kama vile 1234).

70