Unganisha kwenye mtandao wa Wi-Fi
Ili kusaidia kuokoa gharama ya data, unaweza kutumia mtandao wa
Wi-Fi ili kuunganisha kwenye tovuti, iwe uko nyumbani au katika
maktaba au mkahawa wa mtandao.
1. Chagua mipangilio > uunganikaji > Wi-Fi.
2. Hakikisha Wi-Fi ni washa.
3. Ili kuunganisha, chagua mtandao na UNGANISHA.
4. Ikiwa muunganisho ni salama, charaza nenosiri.
Funga muunganisho wa Wi-Fi
Pitisha chini kuanzia juu ya skrini, kisha uchague .
74